Mwanamitindo wa kitanzania Irene masogange amejikuta amekuwa analeta
gumzo kwa wanaume mbalimbali hasa wazungu baada ya kuwa anatembea kwa
madaha kuhu akiwaacha watu midomo wazi kwa sehemu za nyuma alivyokuwa
anazitingisha.
Mwanadada huyo ambaye alifika uwanjani hapo kwa lengo la kubadilisha
ndege na kupanda ndege nyingine ya kurejea nyumbani baada ya kuwa kikazi
maeneo mbalimbali huko ugaibuni kuhusiana na suala zima la kazi zake za
uwanamitindo. Amejikuta akirekodiwa na kutumia simu na kutupiwa kwenye
mtandao wa kijamii wa Whatsapp na mmoja wa watanzania alitumia video
hiyo na kubaini kuwa huyo alikuwa ni Masogange.
Uzuri wa mwanadada huyo unazidi kuwa gumzo siku hadi siku hadi watu
kudiriki kusema kuwa mwili wake ni wakutengeneza lakini yeye mwenyewe
alikataa hilo na kusema ni majaaliwa ya mwenyezi mungu tu ndio
yaliomfanya awe na mwili huo.
No comments:
Post a Comment