limemkuta baba mmoja mtu mzima huko mkoani Manyara baada ya kufumaniwa
na mke wa mtu ambaye inasemekana mume wake ni muendesha boda boda ambaye
alichowafanyia kuwadhalilisha ni kuwatembeza kwa miguu mwanaume huyo
akiwa na huyo mwanamke ambaye ni mke wa muendesha boda boda kwa miguu
wote wawili huku wakiwa
[[ SEE TRANSLATION ]]
wameshikana mkono umbali wa kilometa
zisizopungua 10. Jeshi la polisi liliingilia kati tukio hili na
kuwachukua watu hawa waliokuwa wako uchi na kuwapeleka kituo cha pilisi
kwani kutembea kwao uchi namna hii sio vizuri kwa jamii inayotuzunguka.
No comments:
Post a Comment